Dkt. Magufuli atangazwa mshindi Urais Tanzania |Shamteeblog.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli kuwa Rais Mteule wa Tanzania. Akizungumza katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage amesema mgombea huyo amepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine yeyote. […]

The post Dkt. Magufuli atangazwa mshindi Urais Tanzania appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post