Rais Magufuli afanya uteuzi wa wabunge wawili |Shamteeblog.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa wabunge wawili kwenye Bunge la Tanzania. Kwanza Rais Magufuli amemteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Polepole ni Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM – NEC, itikadi na uenezi. Taarifa ya Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais […]

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa wabunge wawili appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post