Veronica Simba – TSC Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ameitaka jamii kuelewa kwamba adhabu zinazotolewa kwa walimu wanaobainika kwenda kinyume na maadili hazilengi kuwakomoa bali zipo kisheria ili kuhakikisha nidhamu na maadili ya kada hiyo yanazingatiwa. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti hivi karibuni wakati akizungumza na vyombo […]
By Mpekuzi
Post a Comment