Baada ya Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli Kuachana na Yanga Huyu Hapa Kushuka Mikoba yake |Shamteeblog.


Baada ya Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kuhitimisha safari yake ndani ya timu hiyo kumekuwa na maneno kwenye mitandao yao ya kijamii ikimuhusisha mwandishi mkongwe, Tajilihundi kuhusishwa na kuchukua kijiti cha Bumbuli huku Haji Manara akiwa yupo kifungoni kwa miaka miwili kwa utovu wa nidhamu.



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post