Aden Rage Amuonya Fei Toto "Kuwa MPOLE Kaa na Yanga Chini Myamalize" |Shamteeblog.


Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu.

Badala yake,Rage amemtaka Fei Toto akae chini tu na Yanga na awe mpole badala ya hiki anachojaribu kukimbilia CAS.


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post