Watu saba wamefariki kutokana na corona katika bara la Afrika.
Watu saba sasa wamefariki kutokana na visuri vya korona katika bara la Afrika. Kulingana na shirika la afya duniani WHO visa vya corona vinazidi kupanda huku visa vya corona barani Afrika vikifikia watu 297.
Post a Comment