Wimbo Mpya : NTEMI OMABALA - HARUSI YA MSANII KISIMA 'NYANDA MAJABALA' |Shamteeblog.
NaAidan Shamte-0
Msanii wa Nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo kuhusu Harusi ya Msanii wa Nyimbo za asili Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka Mkoani Simiyu... Sikiliza hapa
Post a Comment