TANZIA: Muigizaji nyota wa filamu ya 'Black Panther' Chadwick Boseman (43) amefariki dunia baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mpana kwa miaka 4.
Boseman ambaye alicheza kama T'Challa kwenye filamu hiyo ya Black Panther, amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Los Angeles huku akiwa amezungukwa na mkewe pamoja na familia yake.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/34Ehfjs

Post a Comment