Picha : MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI ALAKIWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MJINI BUKOBA |Shamteeblog.


Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayarikwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo. PICHA NA IKULU


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post