Ratiba ya Ligi Kuu Mzunguko wa Tatu |Shamteeblog.


 KWA sasa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili umeshameguka msimu wa 2020/21.
Mchezo wa mwisho ulichezwa jana ambapo ilikuwa ni kati ya Namungo FC  dhidi ya Polisi Tanzania na ushindi ulikwenda Mosji baada ya Rashid Juma kumtungua mlinda mlango wa Namungo Nurdin Barola bao 1-0.

Hii hapa ni ratiba ya mzunguko wa tatu msimu wa 2020/21 ipo namna hii:-

 Septemba 18

Polisi Tanzania v JKT Tanzania, Uwanja wa Ushirika Moshi, saa 8:00 mchana.

Ihefu FC v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Sokoine, saa 10:00 jioni.

Septemba 19

Tanzania Prisons v Namungo FC, Uwanja wa Nelson Mandela, saa 8:00 mchana.

Kagera Sugar v Yanga, Uwanja wa Kaitaba, saa 10:00 jioni.

Septemba 20

Mbeya City v Azam FC, Uwanja wa Sokoine, saa 8:00 mchana.

Coastal Union v Dodoma FC, Uwanja wa Mkwakwani, saa 10:00 jioni.

Simba v Biashara United, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.

Septemba 21

Mwadui FC v KMC, Uwanja wa Mwadui Complex, saa 8:00 mchana.

Ruvu Shooting v Gwambina, Uwanja wa Mabatini, saa 10:00 jioni.

By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post