Ripoti ya Kaspersky yaonesha Kenya ni kati ya nchi zilizo hatarini zaidi kushambuliwa katika mtandao |Shamteeblog.

Utafiti uliofanywa na Kaspersky umeonyesha kuwa, hadi sasa Kenya ni kati ya nchi zinazokabiliwa na mashambulizi mengi zaidi ya virusi vya software barani Afrika

Pia Kenya ni moja kati ya nchi zinazoathiriwa vibaya na mashambulizi hayo barani humo.

Kampuni ya utoaji huduma ya usalama wa mtandao na mapambano dhidi ya virusi imeripoiti kuwa, mashambulizi milioni 28 na virusi milioni 102 vya software vimegunduliwa katika eneo la Afrika lililoko kusini mwa jangwa la Sahara mwaka huu.

Afrika Kusini, Kenya na Nigeria zimeshuhudia mamilioni ya mashambuklizi katika mtandao wa Internet mwaka huu.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post