Na Mwandishi wetu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha ADC Queen Sendiga amesema kuwa mgombea yoyote atakaeshinda katika kinyang’anyiro hicho ni muhimu kushirikiana na ilani ya vyama nyengine ili kuleta Maendeleo ya wananchi. Kauli hiyo ameitoa jijini Dar es Salaam mapema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ikiwa bado […]
By Mpekuzi
Post a Comment