Zimebaki siku tatu Watanzania kushiriki katika uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi wa nafasi mbalimbali, jamii imekumbushwa kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kumtanguliza Mungu. Rai hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Gospel Messenger Tanzania E.G.M(T), Dkt. Riziki Mwakyami katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliomaliza darasa la saba 2020 katika Shule ya […]
The post Askofu Mwakyami: Tumuombe Mungu atuoneshe kiongozi jasiri na mzalendo appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment