Na Mwandishi wetu Mgombea udiwani wa kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto amewataka wananchi wa kata hiyo kujitokeza kwa wingi octoba 28,2020 ili waweze kumpigia kura nyingi za ndio. Akizungumza na mwandishi wa Darmpya jijini Dar es Salaam wakati wa mahojiano maalum amesema kuwa, anayafaham vizuri matatizo ya wananchi wa kata hiyo hivyo ni vyema kumpa […]
By Mpekuzi
Post a Comment