HomeHABARI Lazaro nyalandu Aangushwa Ubunge Singida....CCM Washinda |Shamteeblog. NaAidan Shamte -October 29, 2020 0 Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Rashid Mandoa aliyepata kura 43,847. By Mpekuzi
Post a Comment