LUDEWA:WAKILI JOSEPH KAMONGA ASUBILIWA KWA HAMU |Shamteeblog.

Na Amiri Kilagalila, Njombe Zikiwa zimesalia siku tatu kufanyika uchaguzi nkuu wa kumchagua Rais , Wabunge na Madiwani Nchini Tanzania Oktoba 28,2020,Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe aliyepita bila kupingwa na kusubili kuapishwa wakili Joseph Kamonga ameendelea na mikutano ya kampeni za Kumuombea Kura Rais Dkt John Pombe Magufuli na madiwani wa CCM. Akiwa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post