Mwili wa aliyekuwa mtangazaji na mwandishi wa habari wa TBC, Elisha Elia unaagwa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Segerea Mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Tukuyu mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho, Oktoba 27, 2020. Elisha lifariki dunia Oktoba 24, 2020 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa […]
The post Moja kwa Moja: Ibada ya kuuga mwili wa Elisha Elia appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment