TPDC KUJA NA MWONEKANO MPYA, UNAOLENGA MAPINDUZI MAKUBWA YA KIBIASHARA KATIKA MAFUTA NA GESI |Shamteeblog.

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) iko mbioni kuja na mwonekano mpya, baada ya kupewa majukumu mapya yanayotokana na sheria ya Mafuta ya mwaka 2015. Majukumu hayo yanaifanya TPDC kuwa mshiriki muhimu katika utafutaji, uzalishaji na usambazaji wa gesi asillia katika mrengo wa kibiashara ambapo pia itashiriki katika biashara nzima ya mafuta hapa nchini […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post