Dar es Salaam,Jumatatu, 25 Oktoba 2020 – Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo imezindua kampeni ya siku tisini itakayofanyika nchi nzima ambayo imelenga kuwafanya wateja wote wa Tigo kuwa washindi wa zawadi mbalimbali kila wanaponunua bando za siku, wiki au mwezi. Kampeni hii iliyopewa jina […]
By Mpekuzi
Post a Comment