Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua safari za treni ya abiria kutoka Arusha kwenda Dar es Salaam na kusema kuwa usafiri huo utasaidia kutunza barabara nchini. Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Arusha leo Oktoba 24, 2020, Dkt. Magufuli amesema kuwa mizigo mingi iliyokuwa ikisafirishwa kwa njia ya barabara kwenda mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania, […]
The post Rais Magufuli azindua safari za treni Arusha – Dar es Salaam appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment