RC KUNENGE AWATAKA BODABODA KUWAFICHUA WAHALIFU, ASEMA SERIKALI ITAENDELEA KUWAWEKEA MAZINGIRA BORA YA KAZI. |Shamteeblog.

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka waendesha Bodaboda na Bajaji kuwa mabalozi wazuri wa kulinda amani na utulivu wa Mkoa huo na kuwaomba kutoa taarifa pindi wanapobaini watu au kundi la watu wahalifu. RC Kunenge ametoa kauli hiyo  wakati wa mkutano na waendesha bodaboda na Bajaji uliofanyika viwanja vya […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post