“WANA-LUDEWA TUNA KILA SABABU YA KUMCHAGUA RAIS MAGUFULI” JOSEPH KAMONGA |Shamteeblog.

Na Amiri Kilagalila,Njombe Oktoba 23,2020, Mbunge wa Jimbo la Ludewa aliyepita bila Kupingwa CCM wakili Joseph Kamonga amemaliza ziara yake ya kutembelea kata zote 26 za wilaya ya Ludewa ziara Iliyoanza Oktoba 2,2020 Kwaajili ya mikutano ya kampeni za kumuombea kura Rais Dkt, John Pombe Magufuli na Madiwani wa CCM . Akizungumza baada ya kumaliza […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post