WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA MAULID |Shamteeblog.

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa jana tarehe 29 Oktoba 2020 ameongoza sherehe za Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (Zafa) zilizoandaliwa na Taasisi ya NIDA Textile na kufanyika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyoambatana na  Baraza la Maulid, Waziri Majaliwa amewahimiza […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post