Barabara nchini Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati Mtanzania |Shamteeblog.

Ujerumani inakusudia kuipa moja ya babrabara zake jina la mwanaharakati wa kisiasa kutoka Tanzania, ambapo kwa sasa barabara hiyo ina jina la aliyekuwa Gavana wa Afrika Mashariki wakati wa ukoloni aliyeamuru watu kuuawa. Barabara ya Wissmannstraße ambao unaotokana na jina la Gavana Hermann von Wissmann utabadilishwa na Mtaa wa Lucy Lameck (Lucy-Lameck-Straße). ‘Straße’ ni neno […]

The post Barabara nchini Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati Mtanzania appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post