Baraza la Mawaziri mwisho kufanya kazi leo |Shamteeblog.

Baraza la mawaziri litakoma leo kuendelea na shughuli za kikazi mara Rais Mteule, Dk. John Magufuli atakapoapishwa katika sherehe inakayofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya kuapishwa kwa Rais Mteule, Dkt. […]

The post Baraza la Mawaziri mwisho kufanya kazi leo appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post