BoT yachukua usimamizi wa China Commercial Bank Ltd |Shamteeblog.

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imechukua usimamizi wa China Commercial Bank Limited na kusimamisha Bodi ya Wakurugenzi na uongozi wa benki hiyo ya nchini China baada ya kubaini upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na matakwa ya sheria ya mabenki na taasisi za fedha nchini.  Uamuzi huo umetangazwa jijini Dodoma na Gavana wa Benki Kuu Profesa  Florens […]

The post BoT yachukua usimamizi wa China Commercial Bank Ltd appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post