Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe wakiwemo wajasiriamali na wafanyabiara wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo,wamepinga vikali swala la baadhi ya wanasiasa kuhamasisha maandamano kwa minajiri ya kutokubaliana na matokeo ya uchaguzi huku wakitoa wito kwa wananchi kuendelea na shughuli zao za kujitafutia kipato. Makundi hayo ya wananchi mjini Njombe wamesema wanaamini uchaguzi […]
By Mpekuzi
Post a Comment