Chama Kuikosa Yanga sc |Shamtee.blog

Kwa mujibu wa kocha wa Simba sc Sven Vandebroek kiungo Cletous Chama hatashiriki katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc hapo kesho baada ya kupata majereha katika mchezo na Kagera Sugar.

Chama alitolewa katikati ya kipindi cha pili katika mchezo huo ambao Simba sc iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na Kocha wa klabu hiyo amethibitisha kukosa huduma ya nyota huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi leo.

Mbali na Chama pia kocha huyo amethibitisha kuwakosa Meddie Kagere na Chriss Mugalu kutokana na Majeraha pia.

The post Chama Kuikosa Yanga sc appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post