Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Bosi wa Wasafi Media Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’, ameachia wimbo mpya ujulikanao ‘Waah!’ aliomshirikisha mkongwe wa muziki wa dansi kutoka nchini Congo Koffi Olomide.
Wimbo huo umeachiwa katika ofisi za Makao Makuu ya Wasafi Media ambapo Koffi Olomide amepata nafasi ya kuangalia namna ya utendaji na uzalishaji wa vipindi unavyofanyika katika Media hiyo akiongozana na mwenyeji wake Diamond Platnumz.
Tazama Hapo chini
By Mpekuzi
Post a Comment