Dkt. Abbasi: Waandishi tangulizeni uzalendo wa nchi |Shamteeblog.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amewahimiza waandishi wa habari kubadilika na kutanguliza uzalendo wa nchi kwanza wakati wa kuandika habari zao. Dkt. Hassan Abbasi amesema hayo leo Novemba 17, 2020 wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu […]

The post Dkt. Abbasi: Waandishi tangulizeni uzalendo wa nchi appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post