FORBES: Serengeti kivutio cha lazima kutembelea 2021 |Shamteeblog.

Jarida la Forbes la nchini Marekani, limeitaja Serengeti kuwa kivutio cha pili kuvutia kutembelewa na watalii zaidi kwa mwaka 2021. Serengeti imetajwa kuwa na uhamiaji mkubwa zaidi wa wanyama duniani “largest terrestrial mammal migration in the world,” ambayo imeifanya Serengeti kuwa moja kati ya maajabu saba ya Asili Afrika. Pia, ni sehemu ambayo mtalii anabahatika […]

The post FORBES: Serengeti kivutio cha lazima kutembelea 2021 appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post