Hapatoshi Simba vs Kagera Sugar |Shamtee.blog

Ni nafasi ya Simba sc kupunguza pengo la alama baina yake na Yanga sc wakati watakapoivaa Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika katika uwanja wa Uhuru jioni ya leo.

Simba sc yenye alama 16 itawakaribisha wakata miwa hao ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui fc katika mchezo wa ligi wa mwisho huku Kagera Sugar ikiwa imetoka kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 2-1.

The post Hapatoshi Simba vs Kagera Sugar appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post