JPM atoa onyo kwa walioteuliwa |Shamteeblog.

Rais Dkt. John Magufuli ameendelea kuiunda serikali yake ya muhula wa pili ambapo leo amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Dkt. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango ikiwa ni hatua za kuendelea kukamilisha baraza la mawaziri. Akizungumza baada […]

The post JPM atoa onyo kwa walioteuliwa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post