KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AFUNGUA MAONYESHO YA SIKU YA WAKULIMA WA MIWA MOROGORO |Shamteeblog.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya leo amefungua Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa yanayofanyika Kitaifa wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro. Akizungumza na wakulima wa miwa na wadau wa sukuri ,Kusaya amesema lengo la Maonesho hayo ni kuhamasisha uzalishaji miwa unaotumia teknolojia ya kisasa na matumizi ya mbegu bora ili kuwezesha nchi […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post