Lishe duni chanzo cha magonjwa na udumavu |Shamteeblog.

Baadhi ya watafiti wa afya wamebaini uwepo wa magonjwa yanayochangiwa na lishe duni na hivyo kusababisha udumavu wa makuzi kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Bodi ya Asasi inayojishughulisha na maendeleo ya kilimo cha mazao lishe (TAHA), Edith Banzi wakati wa uzinduzi wa siku ya afya na lishe katika Kata ya Marangu Magharibi wilayani […]

The post Lishe duni chanzo cha magonjwa na udumavu appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post