MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YATAJWA KUSABABISHA HASARA KUBWA KWA TAIFA |Shamteeblog.

WAMJW-Dar s salaam Maisha ya watu yanafupishwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na maradhi ya Moyo, Kisukari, Saratani, Magonjwa ya njia ya hewa, SikoSeli, ajali, magonjwa ya figo, akili, dawa za kulevya na magonjwa sugu ya meno na macho. Hayo yamesemwa Jana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ambaye alimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post