Majaliwa ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania |Shamteeblog.

Waziri Mkuu Mstaafu, Majaliwa ameteuliwa tena na Rais Dkt. John Magufuli kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili. Kabla ya kutangazwa kwa jina hilo bungeni, wabunge wote walikaa kimya kuashiria shauku ya kutaka kujua jina litakalotajwa ili walithibitishe. Spika wa Bunge, Job Ndugai alimwita mpambe wa Rais aliyetumwa kuleta jina hilo kutoka kwa Rais Magufuli. […]

The post Majaliwa ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post