Majaliwa athibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa kishindo |Shamteeblog.

Wabunge wa Bunge la 12 wamemthibitisha Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu kwa miaka mitano mingine (2020-2025) kwa kupata kura zote 350 zilizopigwa na wabunge sawa na asilimia 100. “Kura zote zilizopigwa ni 350 hakuna iliyoharibika, hakuna kura ya hapana. Kura zote 350 zimemthibitisha Majaliwa, kwa hiyo ndugu wabunge […]

The post Majaliwa athibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa kishindo appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post