MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI (TANZANIA BOAT RACE) KUFANYIKA MWANZA |Shamteeblog.

Mashindano maarufu ya mbio za mitumbwi (Tanzania Boat Race) yanayoandaliwa na kampuni ya The Scope yatafanyika Desemba 13 mwaka huu, mkoani Mwanza na yanatarajiwa kujumuisha zaidi ya timu 40 za wavuvi mkoani hapa na kutoka Wilaya za Ilemela, Nyamagana, Ukerewe, Buchosa, Sengerema na visiwa vilivyopo kwenye Ziwa Victoria jirani na mkoa wa Mwanza. Akiongea na […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post