Mlima Kilimanjaro na fursa za maisha kwa wananchi |Shamteeblog.

Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro wamesema kuwa Mlima wa Kilimanjaro kwao ni maisha, kwani umekuwa na mchango mkubwa katika kuendeleza na kuboresha maisha yao ya kila siku. Wakizungumza na TBC kuhusu tuzo ambayo Njia ya Marangu ya kupanda kwenye mlima huo imepata, wamesema hiyo ni fahari kwao na inaonesha jitihada zao za kutunza mlima huo […]

The post Mlima Kilimanjaro na fursa za maisha kwa wananchi appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post