NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AMTAKA MKANDARASI WA REA RUVUMA KUONGEZA KASI |Shamteeblog.

Zuena Msuya – Ruvuma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja amewaagiza watendaji wa kampuni ya ukandarasi ya Namis Corporate Ltd, wanaotekeleza mradi wa umeme vijijini (REA), mkoani Ruvuma, kuongeza kasi ili wakamilishe kazi hiyo kwa wakati. Alitoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti akiwa katika ziara ya kazi iliyolenga kukagua maendeleo ya […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post