Njia ya Marangu na upekee wake wa kupanda Mlima Kilimanjaro |Shamteeblog.

Baada ya Njia ya Marangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro kushinda tuzo kutoka nchini China kwa kuwa njia bora zaidi ya kupanda kwenye mlima huo, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limefunga safari na kuikagua na kukuza uelewa kuhusu njia hiyo. Wakiwa njiani, watumishi wa TBC wamejionea uzuri wa njia hiyo ambayo imepambwa na mandhari ya kuvutia, […]

The post Njia ya Marangu na upekee wake wa kupanda Mlima Kilimanjaro appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post