NJOMBE:ZAIDI YA WAKULINA 5200 WA ZAO LA PARACHICHI KUNUFAIKA NA UMEME JUA |Shamteeblog.

Na Amiri Kilagalila,Njombe  Wakulima wapatao 5200 wa zao la parachichi mkoani Njombe wanatarajia kunufaika na zao hilo linalohitaji maji mengi  baada ya kuwa na  uhakika wa kupata maji ya kumwagilia kupitia umeme wa solar pump. Hayo yamesemwa na wakulima wa parachichi mkoani Njombe baada ya kukopeshwa solar kutoka kampuni ya Ensol ambayo imekuwa ikiwafungia wakulima […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post