Picha: Emmanuella ampa mama yake zawadi ya jumba la kifahari |Shamteeblog.

Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya mapema ya Sikukuu ya Krismasi. Emmanuella amenukuliwa akisema amejenga nyumba hiyo kupitia faida ya kazi yake ya sanaa ya kuchekesha. Mama wa mchekeshaji huyo amekuwa akionesha ushirikiano katika kukuza kipaji […]

The post Picha: Emmanuella ampa mama yake zawadi ya jumba la kifahari appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post