Bodi ya uendeshaji michezo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limemfungia miaka mitano Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Ahmad Ahmad kujihusisha na mchezo wa soka na shughuli zote zonazohusiana na mchezo huo.
Kamati ya nidhamu ya Fifa, imesema Ahmad alikuwa na matumizi mabaya na ufujaji wa fedha za Caf akiwa madarakani.
Rais huyo mwenye miaka 60 taarifa zinaeleza kuwa amekuwa kwenye uvunjifu wa taratibu zilizowekwa na kwenye masuala ya matumizi ya fedha kwa muda mrefu kwenye masuala ya fedha.
Taarifa imeeleza:”Uchunguzi juu yake umefanywa kwa muda mrefu na ilianza baada ya kuingia madarakani 2017-2019 kuna mambo yalikuwa hayapo sawa kwenye masuala ya mipango na matumizi.
Cc:Salehe Jembe
The post Rais Caf Afungiwa Miaka 5 appeared first on Sports Leo.
By Author
Post a Comment