Dkt. John Magufuli ameapishwa leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu kwa kupata kura 12,516,252 sawa na asilimia 84.4. Hafla hiyo ambayo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa inaendelea jijini Dodoma na ilianza kwa Dkt. […]
The post Rasmi Dkt. Magufuli aapishwa kwa muhula wa pili appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment