Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge amewasisitiza wananchi kufanya mazoezi na kuepuka ulaji usiofaa ili kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, saratani na kisukari ambayo yamekuwa chanzo cha vifo na usumbufu kwa wananchi. RC Kunenge amesema hayo wakati wa ufunguzi wa wiki ya kitaifa ya kukabiliana […]
The post RC Kunenge awataka wananchi kufanya mazoezi na kuepuka ulaji usiofaa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment