Samatta Kuwakosa Tunisia |Shamtee.blog

Habari mbaya kwa Watanzania ni kwamba nahodha wa timu ya Taifa(Taifa stars) Mbwana Samatta atakosekana katika kikosi kitakachoivaa timu ya taifa ya Tunisia katika kuwania kufuzu Afcon mwakani.

Nahodha huyo anayeichezea klabu ya Fernabache ya nchini Uturuki atakosekana katika kikosi hicho kilichoweka kambi nchini Uturuki kutokana na kusumbuliwa na majeraha na hivyo madaktari kumshauri apumzike.

Taifa stars inatarajiwa kucheza na Tunisia ugenini mjini Tunis kisha kurudiana baada ya siku nne jijini Dar es salaam.

The post Samatta Kuwakosa Tunisia appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post