‘Simba’ vs ‘Yanga’ zatoshana nguvu |Shamteeblog.

Mechi ya kirafiki kati ya wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) waliojigawa kama Yanga na Simba imemalizika kwa sare ya mabao 3-3 katika uwanja wa chuo cha Ustawi Jijini Dar es salaam Yanga walitoka kifua mbele kipindi cha kwanza kwa kupata ushindi wa magoli 3, lakini kipindi cha pili Simba walirudi na nguvu zaidi […]

The post ‘Simba’ vs ‘Yanga’ zatoshana nguvu appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post