TANESCO MSHINDI WA JUMLA MASHINDANO YA SHIMMUTA |Shamteeblog.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya SHIMMUTA baada ya kunyakua vikombe tisa na kuibuka kidedea katika mashindano hayo ya michezo ya mwaka 2020, yanayofanyika Mkoani Tanga. Matokeo hayo yanaifanya TANESCO kuwa mshindi wa jumla katika mashindano ya SHIMMUTA mwaka huu yaliyomalizika Mkoani Tanga. Michezo ambayo TANESCO imeibuka na ubingwa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post